Pages

Friday, October 19, 2012

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akabidhi tuzo kwa Asasi zinazotoa msaada wa kisheria nchini

 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki akizindua awamu ya pili ya kuzisaidia kifedha Asasi zinazotoa huduma ya msaada wa kisheria nchini katika hafla iliyofanyika jana, jijini Dar Es Salaam.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. angellah Kairuki akikabidhi tuzo ya fedha kwa moja ya Asasi zilizopata tuzo hizo jana jijini Dar Es Salaam. Katikati anayeshuhudia ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Makungu.

Popular Posts