Pages

Wednesday, October 17, 2012

Makamu Wa Rais Dkt. Bilal Akutana Na Naibu Mwakilishi Wa Biashara Katika Ofisi Ya Rais Wa Marekani


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, aliyefuatana na ujumbe wake, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt.
Picha na OMR

Popular Posts