| Wanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari ya Kinjumbi wilayani Kilwa wakisoma kemia kwa vitendo katika maabara ya shule.Shule hii ipo rtakribani kilometa 70 toka Kilwa Masoko | 
| Hivi ndivyo tukichanganya inatokea kwenye 'test tube' | 
| Hii ni result ya huu mchanganyiko.Mananisikia?Mwanafunzi akiwaelekeza wanafunzi wenzake juu ya mchanganyiko alioufanya kwenye 'test tube' na reaction iliyotokea. | 
| Majaribio ya maabara yakiendelea.wanafunzi hawa ni wa kidato cha nne na wanategemea kufanya mtihani wao wa Chemistry,Biology na Physics kwa vitendo. | 
| Embu leye hiyo test tube.ingawa hatuna groves na miwani kwaajili ya kujikinga kama reaction mbaya itatokea. | 
| tunaendelea hivi | 
| Unaona inavyokuwa?Tunachanganya hivi | 
| Chumba cha maabara ya shule ya sekondari ya Kinjumbi |