Pages

Monday, September 10, 2012

EXTRA BONGO, TOT NA MACHESTER BAND ZANOGESHA DAR LIVE


Mwanamuziki wa Extra Bongo, Ramadhan Mhoza ‘Pentagon’ akikamua.
Wanenguaji wa bendi ya Manchester walivyokamua.
’Vifaa’ vya Extra Bongo vikiwa kazini kwenye onesho hilo.
ToT wakiwa kazini.
---
WAPENZI wa burudani waliobahatika kuingia Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala jana Jumapili walinogeshwa na vionjo vipya vya bendi za Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Bendi ya Manchester na magwiji wa mipasho, ToT Taarab.

Burudani uwanjani hapo zilianza mapema kwa michezo mbalimbali ya watoto inayojumuisha vifaa mbalimbali ambavyo huvitumiwa bila malipo.PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

Popular Posts