Pages

Monday, September 10, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT GHARIB BILAL AFUNGUA MKUTANO WA WA SABA WA WALIMU WA AFRIKA (African Confederation for Principles (ACP).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa siku 3 kwa walimu wa nchi za Afrika unaojadili kuboresha Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo unahudhuriwa na wawakilishi wa walimu kutoka nchi saba za Afrika zinazotumia lugha ya Kiingereza katika ufundishaji. (Tarehe 10,Septemba 2012)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaaga walimu kutoka nchi za Afrika wanaohudhuria mkutano wa 7 wa ACP, unaojadili kuhusu maboresho ya Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo umefunguliwa leo na Mheshimiwa Makamu wa Rais na unahudhuriwa na wawakilishi wa walimu kutoka nchi saba za Afrika hususani zile zinazotumia lugha ya Kiingereza katika ufundishaji.(Tarehe 10, Septemba 2012).Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Popular Posts