Waziri    Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akikata utepe wakati wa makabidhiano ya    madawati 500 kwa shule ya msingi minazi mirefu iliyopo Ukonga jijini  Dar   es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mahusiano ya Serikari wa    Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel Ole-Naiko
  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika hafla hiyo.
 Waziri    Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa  Mahusiano   ya Serikari wa Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel  Ole-Naiko   wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 500 katika Shule yua  Msingi Minazi   Mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam 
 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akitizama wanafunzi wakiwa wamekalia madawatimuda mfupi baada ya kukabidhi 500 kwa shule ya msingi minazi mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam jana.