
 Mkuu   wa Brigedi ya kusini Songea Kanali John Chacha akisamiliana na Waziri   wa Mambo ya nje  na ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernad Membe mjini   Songea


  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernad Membe   akisalimiana na mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Ruvuma Daud Masiko .

 Mzee   aliyefahamika kwa jina moja la Ngatunga akizungumza jana wakati wa   ujumbe wa wataalamu kutoka Serikalini ulipotembelea ziwa nyasa wilayani   nyasa Ruvuma ili kupata ushahidi wa mmiliki halali wa ziwa nyasa ambalo   limeziingiza katika mgogoro Malawi na Tanzania.

Mzee   Gidion Ndembeka kulia akimuonesha Waziri wa mambo ya nchi za nje  Bernad  Membe kitabu chenye mipaka halali kati ya Malawi na Tanzania  iliyopo  ndani ya Ziwa Nyasa. Picha na Muhidin Amri