Pages

Tuesday, September 11, 2012

Uzinduzi wa Bodi Mpya Ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF)

Katibu Mkuu Wizara ya fedha, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Ramadhan Khijah akizungumza wakati wa uzinduzi wa bodi mpya wa wakurugenzi ya Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF) uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Akiba ya wafanyakazi GEP, Daud Msangi na Mwenyekiti mpya wa bodi ya GEPF, Joyce Shahidi.
Mkurugenzi Mkuu wa GEPF, Daud Msangi akizungumza
Meneja Masoko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo
Mwenyekiti wa bodi iliyomaliza muda wake ya Mfuko wa wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF), iliyomaliza muda wake, Monica Mwamunyange akizungumza katika hafla hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha,Ramadhan Khijah akimkabidhi zawadi,Mwenyekiti wa bodi iliyomaliza muda wake ya Mfuko wa wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF), Monica Mwamunyange kutokana na mafanikio yaliyopatikana kwa kipindi cha uongozi wake.Picha Zote na Dande JR

Popular Posts