
 Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania, Akiagana na Mbunge wa  Bunge la Zimbabwe na Mjumbe wa Kamati ya  Interparliamentary unity  (IPU), Thabitha Khumalo, wakati akiagana na ujumbe wa IPU baada ya   mzungumzo na ujumbe huo, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es   Salaam, leo Sept 11, 2012. 

Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akizungumza na ujumbe wa Kamati ya ‘Interparliamentary Unity’ (IPU),  wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,  leo Sept 11, 2012 kwa mazungumzo. 

Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kamati ya Interparliamentary  unity (IPU) baada ya mazungumzo wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini  kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Sept 11, 2012. Picha na Ofisi ya  Makamu wa Rais