Mbunge   wa Mchinga(CCM) Mheshimiwa Said Mtanda akiongea na wananchi wake na   kuwashukuru sana kwa pongezi na ameahidi kufanikisha mengi ya maendeleo   katika jimbo lake.   
 Mheshimiwa  Tambwe Hiza(CCM) akiwahutubia  wananchi wa jimbo la Mchinga katika  sherehe za kumpongeza Mbunge wao Mh.  Said Mtanda kwa kuchaguliwa kuwa  mbunge wa Africa mashariki
Mbunge wa Mchinga Mheshimiwa Said Mtanda akipokewa kwa Shangwe na Vijana wa Jimbo lake