Askari waliokuwa katika eneo la tukio kabla ya kuanza kwa maandamano hayo
Moshi wa mabomu yaliolipuliwa kutawanya maandamano ya chadema leo mjini morogoro

Gari la chadema lililokuwa likiongoza maandamano hayo
Mmoja wa kiongozi wa chadema akiwa amekamatwa akiwa ndani ya gari la polisi
Wafuasi wa chadema wakiwa na maandamao hayo mjini morogoro
 Huyu  ni  Ally Zona muuza magazeti wa Msamvu  Morogoro akiwa hajitambui baada  ya  kutandikwa risasi na Polisi wakati wa vurugu za kuzuia  maandamano ya  chadema leo. Picha kwa hisani ya Father Kidevu
