Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali  Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania  Filiberto Ceriani Sebregondi, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya  nchini Tanzania Filiberto Ceriani Sebregondi, alipofika Ikulu Mjini  Zanzibar leo kusalimiana na Rais. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

