Mwenyekiti wa Jumuiya ya wananfunzi wa vyuo vya elimu ya Juu nchini CCM,  mkoa wa Dar es salaam Ndugu Asenga Damian Abuubakar, akibebwa juu juu  na wapambe wake, baada ya kushinda nafasi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu  ya Mkoa akiwakilisha wilaya ya Ifakara. Kijana huyo ambaye ni kada  mkubwa wa Chama anawakilisha kundi kubwa la vijana wenye ari, uwezo na  nia ya dhati ya kukisimamia Chama Cha Mapinduzi na kukiongezea nguvu na  fikra mpya za Vijana ili kukijenga zaidi na kukiongezea ustawi.
 
                      -