Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua  uenzi wa daraja la Msyada  linalounganisha vijiji vya Mwamapuli na  Chamalendi  wilayani Mlele  Agosti 26,2012. 
   Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza  na  vijana wa kijiji cha Kavuddo  wilayani mlele wakati alipokagua eneo litakapojengwa daraja   linalounganisha eneo la Majimoto na Inyonga wialyani Mlele Agosti  26,2012. 
  Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua  mashine ya kukoboa mpunga na kupanga  madaraja ya mchele katika kijiji cha Mwamapuli wilayani Mlele Agosti  26,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu