

 Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisoma hotuba yake wakati akifunga rasmi Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa,  Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara,  yaliyomalizika mjini Dodoma jana Mei 30, 2012. 

 Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal  (kulia) akiteta jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati alipofika  katika Ukumbi wa Mtakatifu Gaspar mjini Dodoma jana Mei 30, kufunga  rasmi Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa  Wilaya wa Tanzania Bara, yaliyomalizika mjini Dodoma jana. 




 Baadhi  wa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa  Tanzania Bara, waliohudhuria mafunzo hayo wakimsikiliza kwa makini mgeni  rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya kufunga mafunzo hayo jana  Mei 30, 2012 mjini Dodoma. 

Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal  (kulia) akiteta jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati akiondoka   katika Ukumbi wa Mtakatifu Gaspar mjini Dodoma jana Mei 30, baada ya   kufunga rasmi Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na  Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara, yaliyomalizika mjini Dodoma jana.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais