
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akisamiana na Rais wa Japan  International  Cooperation Agency (JICA) Profesa Akihito Tanaka na  baadaye kufanya  naye mazungumzo   baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi  ya Magavana wa  Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa AICC  jijini Arusha.

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Mshauri  wa Mfalme wa  Tano wa Morocco Bw Omar Kabbaj   baada ya kufungua Mkutano  Mkuu wa  Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi  wa AICC  jijini Arusha.

Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa  Rais wa Benki  ya Dunia Bw. Makhtar Diop baada ya kufungua Mkutano Mkuu  wa Bodi ya  Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa  AICC jijini  Arusha.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa Zanzibar katika   Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika wakati   wa hafla ya chakula cha usiku baada ya ufunguzi wa mkutano huo Mei 31,   2012 usiku katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha 
.jpg)
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana wa Arusha  walioshiriki  kutoa huduma kwa wajumbe wa  Mkutano Mkuu wa Bodi ya  Magavana wa Benki  ya Maendeleo ya Afrika wakati wa hafla ya chakula cha  usiku baada ya  ufunguzi wa mkutano huo Mei 31, 2012 usiku katika hoteli  ya Ngurdoto  Mountain Lodge jijini Arusha

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya  wafanyakazi wa   ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika  Mashariki  baada  ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki  ya Maendeleo ya  Afrika. Jengo hili liko nyuma ya jumba la mikutano la  AICC jijini  Arusha.

 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa jengo la  Makao Makuu ya  Jumuiya ya Afrika Mashariki  baada ya kufungua Mkutano  Mkuu wa Bodi ya  Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika. Jengo hili  liko nyuma ya  jumba la mikutano la AICC jijini Arusha.Picha na IKULU