
 Rais   Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe  Ikulu jijini Dar es salaam leo   May 30, 2012 kutoka serikali ya Burundi alioletewa na Mh Martin   Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. 

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Ikulu jijini Dar es salaam leo May   30, 2012 Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin   Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni   Balozi wa Burundi nchini Tanzania

Rais   Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe alioupokea  Ikulu jijini Dar es   salaam leo May 30, 2012 toka kwa Mjumbe maalumu kutoka serikali ya   Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa   nchi hiyo. shoto  ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.Picha na IKULU