Pages

Friday, June 1, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWASILI SALAMA ANGOLA ,KUMWAKILISHA RAIS KWENYE KIKAO CHA SADC

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa kwa gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Luanda, Angola May 31, 2012 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC. Anaongozwa na Waziri wa Nishati na Maji wa Angola Joao Baptista Borges.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe baada ya kuwasili Luanda Angola May 31, 20121 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwenye katika Kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika SADC Juni 1, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengio Pinda akisalimiana na Rais wa Angola Jose Edwardo dos Santos katika kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleoo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC kilichofanyika Juni 1, 2012 Mjini Luanda Angola .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nishati na Maji wa Angola, Joao Baptista Borges baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Luanda nchini Angola May 31, 2012 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC Juni 1, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Popular Posts