Pages

Thursday, May 31, 2012

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk Azungumza na Wadau wa Utalii Zanzibar na Kuwahakikishia Usalama Kwa Wageni

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk, akizungumza na Wadau wa Utalii Zanzibar na kuwahakikishia usalama kwa Wageni wanaokuja kuitembelea Zanzibar na kuimarisha hali ya ulinzi na kuendelea amani na utulivu uliokuwekwe na utaendelea kuwepo wasiwe na wasiwasi na wageni wao wakati wakiwa katika safari zao za kitalii. mazungumzo hayo yamefanyika katika Ukumbi mdogo wa Salama Bwawani.
Wadau wa Utalii Zanzibar
Maofisa wa Ubalozi wa Marekani na Uingereza na Wadau wa Utalii wakimsikiliza Waziri Mbarouk alipokutana nao kuwahakikishia hali ya Amani na Utulivu kwa Wageni na Wananchi wa Zanzibar.

Popular Posts