Pages

Wednesday, May 30, 2012

Mbunge wa bumbuli(CCM) Apeleka Umeme Kata ya Mgwashi Kwa Mara ya Kwanza

Mbunge wa bumbuli(CCM)na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh January Makamba akihutubia wananchi wake(wapiga kura)kata ya Mgwashi Jimboni kwake Bumbuli,Kwa mara ya kwanza kata hii imepata umeme. Mradi wa maji wa shilingi bilioni moja nukta sita nao karibu utaanza utekelezaji wake.
Mbunge wa bumbuli(CCM)na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh January Makamba akilakiwa na wapiga kura wake muda mfupi baada ya kumaliza mkutano wake kata ya mgwashi Bumbuli Mei 28,2012,Kata ya Mgwashi, Bumbuli Mei 28, 2012.Kwa mara ya kwanza kata hii imepata umeme. Mradi wa maji wa shilingi bilioni moja nukta sita nao karibu utaanza utekelezaji wake.

Popular Posts