

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akifungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Bodi  ya Magavana wa Benki ya  Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha  leo Mei 31. 2012


 Ukumbi  wa AICC wakati wa Rais Jakaya  Kikwete alipokuwa akifungua Mkutano wa  Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana  wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi  wa AICC jijini Arusha leo Mei 31.  20


Rais  Kikwete akiwa na Rais wa Ivory  Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu  wa Botswana Mh Festus Moghae,  Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald  Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa  Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) ,  Waziri wa Fedha Dkt  William Mgimwa  (wa pili kuhsoto) katika picha ya  pamoja na Marais wastaafu wa Benki ya  Afrika.Picha na IKULU