Baada  ya kazi pevu ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc   wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamtembelea rasmi   Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akipata picha ya pamoja  na Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
 Wabunge  wa Chadema  Mhe. Peter Msigwa wapili kushoto, Mhe. Nassari  Joshua,  Al-Marufu  Dogo Janja, (Watatu kulia), ofisa wa ubalozi  Mhe.  Peter  Msigwa, Kaimu Balozi Mhe Lilian Munanka pamoja na viongozi wa tawi  la  Chadema Washington Dc wakipata picha ya pamoja na balozi  Mhe.  Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kumtembelea rasmi siku ya Jumanne Mei 29,2012 Washington Dc Nchini Marekani.
Mbunge  wa Chama Cha Demokrasia na  Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter  Peter  Msigwa akipata picha ya pamoja na  waTanzania waishio nchini Marekani,  ndani ya Ubalozi wa Tanzania  Washington Dc.Picha na Mdau Swahilivilla