 Rais   Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh   Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012.   Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh   Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012.   Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi

Rais   Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe  Ikulu jijini Dar es salaam leo   May 30, 2012 kutoka serikali ya Burundi alioletewa na Mh Martin   Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. 

 Rais   Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa   Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30,   2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi

Rais   Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh   Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012.   Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi
Picha na IKULU
Picha na IKULU