Nabendera ya Taifa wakishangilia Bao la  kwanza la Brazil lilifungwa kwa Penalti na mchezaji Neymar
 Wabunge wa chama cha Chadema wakipata flash ya pamoja na warembo wa Kibrazil ndani ya uwanja wa FedexField, uliopo Landover Maryland Nchini marekani.
 Hivyo ndivyo ilivyo katika uwanja wa FedexFeild, uliopo Landover Maryland Nchini Marekani 
 Idadi ya wapenzi waliohudhuria katika mpambano huo ni 67,656 wakiwemo  Mhe. Nassari Joshua pamoja na Mhe, Peter Msigwa
 Picha  ya pamoja na viongozi wa juu wa Chadema kwenye mpambano wa US na   Brazil Usiku wa kuamkia leo  Alhamis Mei 31,2012 ndani ya ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini marekani
 Wachezaji  wa Brazil wakilinda ngome  yao kwa kuwadhibiti timu ya US kwenye mechi  hiyo ya kirafiki ambapo timu  ya Brazil waliweza kuwabamiza US bao 4-1  nyumbani kwao.
 US.  hoi kwa Brazil baada ya kubamizwa bao nne bao la kwanza lilifungwa   na Neymar, na lapili na Thiago mnamo wa dakika ya 11, kipindi cha   kwanza. bao la US lilifungwa na Hercules Gomes dakika ya 44 kipindi   chakwanza hadi mapumziko Brazil 2 US 1 kwenye mchezo wa kirafiki.
Wabunge  wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe, Peter   Msigwa na   Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu  Dogo janja, wakiwa na  uwongozi wa tawi  la Chadema Washington Dc Libe Mwangombe, wanne,  Mjomba  a.k.a Cosmas,  Mzee wa swahilivilla Aboh Shatry wa pili kulia, pamoja na  mashabiki wa  US, wakiiunga mkono bendera ya taifa.Picha na Habari na Mdau Swahilivilla