Pages

Friday, July 20, 2012

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Learnhat Alfonso Baada ya Kuona Maiti Zilizookolewa Katika Meli MV Skiget

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Learnhat Alfonso wakatikati akionekana na huzuni Baada ya kuziona Maiti zilizookolewa katika Meli iliozama hapo jana katika Bahari ya Chumbe Zanzibar.Balozi alifika katika Viwanja vya Maisara ili kuona namna shughuli za kushughulikia maiti zinavyoendelea.

Popular Posts