Pages

Monday, July 16, 2012

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Aongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa - Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa CCM,alipowasilikatika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo.
Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,kwa pamoja wakiwa wamesimama kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

Popular Posts