Pages

Tuesday, July 17, 2012

KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS YADHAMINI LIGI YA POLISI JAMII

Afisa Utawala wa Global Publishers, Sudi Kivea (wa kwanza kushoto), akiwa na Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Benjamin Mwanambuu (katikati), wakimkabidhi kombe hilo ofisa mwandamizi wa polisi wa Kinondoni, Wilbrod Mutafungwa, kituo cha Oyster Bay jijini Dar leo.

KAMPUNI ya Global Publishers Ltd inayochapicha magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Championi leo imekabidhi kombe la ligi ya polisi jamii ikiwa mdhamini wa ligi hiyo iliyoanza kutimua vumbi tangu Julai 9 mwaka huu.PICHA NA ERICK EVARIST/GPL

Popular Posts