Pages

Sunday, July 15, 2012

KUFUNGA MAFUNZO UNGANISHI (BRIDGING COURSE) NA KOZI YA AWALI (PRE-ENTRY COURSE) CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

Mwakilishi wa Naibu Waziri wa WEMU, Bw. David Kazuva (Mkurugenzi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi), akiwahutubia baadhi ya wanafunzi waliohitimu Kozi ya Pre-Entry Course na Bridging Course.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika akiwahutubia Baadhi ya Wahitumu wa Kozi ya Awali na Mafunzo unganishi kwa ajili ya kujiunga na Shashahada za Uhandisi.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mh. Mercy Silla atoa neno kwenye Tukio la Kufunga Mafunzo Unganishi na Kozi ya Awali.
Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya ATC, Bi. Suzan Mnafe akisema Hotuba yake wakati Tukio la kufunga Mafuzo Unganishi na Kozi ya Awali.
Baadhi ya Wahitimu wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mgeni rasmi.

Popular Posts