Pages

Wednesday, July 18, 2012

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia Duniani,H.H. Karim Aga Khan ikulu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 18, 2012 kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.Picha na IKULU

Popular Posts