Pages

Tuesday, July 17, 2012

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Bi.Asha Seif Balozi Ashiriki Fainali Za Kombe la Zaweda

Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza, akimkabidhi Kombe la Ubingwa na ZAWEDA , nahodha wa timu ya Newstar ya Kiwengwa Masoud Maulid, baada ya kuishinda timu ya White Kids ya Mahonda,katikati Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Mbunge wa Kitope Bi.Asha Seif Balozi. mchezo uliofanyika uwanja wa Kitope. 1--0
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza, akimkabidhi Seti ya Jezi na Mpira Nahodha wa timu ya White Kids, Ussi Ali, baada timu yake kuibuka mshindi wa Pili wa michuano hiyo.
Mwakilishi wa jimbo la Uzini Mhe.Mohammed Raza na Mke wa Mbunge wa jimbo la Kitope Mama Asha Balozi.wakibadilishana mawazo wakati wa mapumziko ya mchezo huo wakiwa na wajumbe wa kamati ya michuano hiyo.

Popular Posts