Pages

Tuesday, July 17, 2012

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Rais mpya wa Misri Bwana Mohamed Mursi,Rais Paul Kagame wa Rwanda,Makamu wa Rais wa Malawi Khumbo Kachali Ethiopia

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Misri Bwana Mohamed Mursi pamoja na viongozi waandamizi wa Misri wakati wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(AU) uliofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Bwana Raymond Chambers mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika vita dhidi ya Malaria wakati wa kikao maalum cha African Leaders Malaria Alliance(ALMA) kilichofanyika jijini Addis Ababa jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Malawi Bwana Khumbo Kachali jijini Addis Ababa Ethiopia wakati wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati wa kikao maalum kilicojadili masuala ya Maziwa Makuu kilichofanyika jana jijini Addis Ababa Ethiopia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana nakufanya mazungumzo na Rais mpya wa Misri Bwana Mohamed Mursi pamoja na viongozi waandamizi wa Misri wakati wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa nchiza Umoja wa Afrika(AU) uliofanyikajijini Addis Ababa Ethiopia jana.
Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa ambapo Mkutano wa 19 wa wakuu wan chi za umoja wa Afrika (AU) ulifanyika.Picha na Freddy Maro-IKULU

Popular Posts