Mshambuliaji wa Simba (kulia) akichuana na beki wa timu ya Sports  katika mchezo wa Kombe la Kagame, ambapo mchezo huo umemalizika huku  Simba wakiibua na ushindi wa mabao 3-0. Mabao ya Simba yamefungwa katika  dakika 60 na 64,bao la kwanza likifungwa na Abdallah Juma na la pili  likifungwa kwa mkwaju wa penati katika dakika hiyo ya 64, baada ya  mchezaji wa Sports, kuunawa mpira akiwa ndani ya eneo la hatari.
 ![]()  | 
| Mwinyi Kazimoto (kushoto) akiwania mpira na beki wa Sports. | 




