Lori lenye nambari  T814 liliokua baada ya kugongwa na bus kwa kutokea nyuma.
    Lori likiwa limeharibika vibaya.
   RPC Kelenge kulia akijadili jambo na RTO  Willy eneo la tukio 
    Bus la muhamed trans lenye nambari   T884 likiwa limepinduka  baada ya kupata ajali kwa kuligonga lori la  mchanga. Ambapo bus hilo lilikua likisafiri kutoka bukoba mjini kuelekea  Mwanza, na abiria wote wamenusurika.
    Ajali  hii imetokea asubuhi ya leo majira ya saa moja kasoro ni eneo la  kyetema km 5 kabla ya kifika kemondo na ni umbali wa km 15 kutoka Bukob  mjini. Shukrani za pekee ziwaendee BukobaWadau Blog







