Pages

Monday, August 13, 2012

Operesheni Sangara Ya Chadema ilivyovuna Wanachama Wapya Ulanga Magharibi

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ruaha katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, wakinunua kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mara baada ya mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, ukiwa ni mwendelezo wa kampeni za Operesheni Sangara.
Wakaziwa mji wa Lupiro katika jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha Poples Power, wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, juzi.Picha na Joseph Senga

Popular Posts