Mkurugenzi wa Biashara  wa CFAO Motors  Wayne Mcintosh akizungumza na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo kwenye  hafla ya futari iliyoandaliwa na CFAO Motors maalum kwa wateja hao  katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
 
  Sales Administration & Suzuki Brand  Manager wa CFAO Motors Bw. Luv Gadvi (kulia) akisalimiana na mmoja wa  wateja wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa jijini  Dar es Salaam katika hoteli ya Serena maalum kwa wateja wa kampuni  hiyo.Katikati ni Mkurugenzi mpya wa kampuni mpya ya Alliance Motors Bw.  Alfred Minja.
 
  Meneja Masoko wa CFAO Motors Tharaia  Ahmed (kulia)  wakibadilishana kadi na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo  wakati wa hafla ya futari iliyodaliwa na kampuni hiyo maalum kwa wateja  wake.
 
  Mkurugenzi mpya wa kampuni mpya inayouza  magari ya 'Volkswagon Amarok' ya Alliance Motors Bw. Alfred Minja na  baadhi ya wateja wa kampuni ya CFAO Motors.
 
  Meneja Masoko wa CFAO Motors Tharaia  Ahmed  (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa Wateja wa Kampuni hiyo  Bw. Zahir Somji kutoka Tanzania Sign writers (kushoto)  wakati wa hafla  ya  futari ya pamoja iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya wateja wa CFAO  Motors katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 
  Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya CFAO  Motors Bw. Azizi Masare akiongoza Swala ya Magharibi kwa baadhi ya  Wateja wa Kampuni hiyo wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa  kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 
 Wateja wa Kampuni CFAO Motors wakipakua futari maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao.
 
 Wa kwanza Kulia ni Tender Manager wa CFAO Motors Bw. Marco Kahabi sambamba na Baadhi ya Wateja wa kampuni hiyo wakila futari.
 
 Pichani Juu na Chini ni Baadhi ya Wateja  na wafanyakazi wa CFAO Motors wakifurahia burudani ya mcheza shoo wa  kiarabu alipokuwa akipita kila meza wakati wa hafla ya futari  iliyoandaliwa kwa wateja wa kampuni hiyo katika hoteli ya Serena jijini  Dar es Salaam.
 

 Wateja  wa CFAO Motors wakionekana kuvutiwa na burudani hiyo.
 
 Mhasibu Mkuu wa Kampuni ya CFAO Motors  Bw. Aldo Pagan (kushoto) akifafanua jambo kwa baadhi ya wateja wa  kampuni hiyo wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na CFAO Motors  katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.