Pages

Friday, August 17, 2012

JAMAA ACHENGULIWA NA UZINDUZI WA SHINDA NOAH

Akiwasili eneo la uzinduzi.

...akivutiwa na wacheza shoo.

...akianza makamuzi.

...burudani imekolea.

...akionyesha ufundi.

...akionyesha staili tofauti.

...ilikuwa full burudani.

...wananchi wakishuhudia burudani kutoka kwa mdau huyo.

Mdau mmoja wa magazeti ya kampuni ya Global Publishers ambao ni wachapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Amani, Championi, Ijumaa, Risasi, na Ijumaa Wikienda hivi karibuni alichenguliwa na burudani zilizokuwa zinaendelea eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam na kuamua kushusha burudani ya aina yake wakati wa uzinduzi wa shindano la SHINDA NOAH linaloendeshwa na Global Publishers

Popular Posts