Mabondia Maneno Osward kushoto na Rashidi Matumla wakitunishiana misuli wakati wa kutangaza mpambano wao utakaofanyika siku ya uidi pili katika ukumbi wa Dar live siku ya Idi mosi
Promota wa mchezo wa masumbwi Kaike Siraju katikati akiwainua mikono juu mabondia Maneno Osward kushoto na Rashidi Matumla wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika ukumbi wa Dar Live .