
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib  Bilali aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es Salaam jana Agosti 16, 2012  muda mfupi kabla ya  kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.
 
Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe Sophia  Mjema katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar  es Salaam jana Agosti 16, 2012  muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea  Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.
 (Picha na IKULU)