
  Balozi  Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia hapa  Wizarani, akisalimiana na Bibi Moon Jim Kim, mke wa Balozi Young-Hoon  Kim, Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi  nchini.  Pichani ni Mhe. Balozi Kim. 
 
  Naibu  katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi Rajabu Gamaha akimzawadia Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda  wake wa kazi nchini, Mhe. Young-Hoon Kim, wakati wa hafla ya kumuaga  iliyoandaliwa na Wizara hiyo na kufanyika kwenye Hoteli ya Southern Sun,  Dar es Salaam. Katikati ni mke wa Balozi Kim, Moon Jim Kim
 
 Naibu  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi Rajabu Gamaha akimtakia heri na uzima wa afya Balozi wa Korea  Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi nchini, Mhe. Young-Hoon Kim, wakati  wa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo na kufanyika kwenye  Hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam. Katikati ni mke wa Balozi Kim,  Moon Jim Kim.Picha Zote na Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa