Makamu   Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis, akimtambulisha Mgombea wa Chama  hicho  Issa Khamis, kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu katika Mkutano wa  Uzinduzi  wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Skuli Bububu.
Mwakilishi   wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitowa sera za Chama chake kwa  wananchi   waliofika katika uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya skuli ya bububu   jana
 Makamu   Mwenyekiti wa Chama cha CUF Machana Khamis, akizinduwa Kampeni za   Uchaguzi wa Chama chake katika viwanja vya skuli ya bububu jana
 Mgombea   wa Chama cha CUF Issa Khamis akijitambulisha kwa Wananchi wa Jimbo la   Bububu wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo unaofanyika   kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Salim Amuor   Mtondoo 
 Waheshimiwa   wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha CUFya   Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF   Taifa Machano Khamis.
 Waheshimiwa   wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha CUFya   Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF   Taifa Machano Khamis.