
  Kamishna wa  Sensa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  Hajjat Amina Mrisho Said  akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juzi jijini Dar es salaam kuhusu  zoezi la Sensa ya watu na makazi 2012  linaloendelea nchi nzima na  kutoa wito kwa wananchi ambao bado hawajahesabiwa kutoa taarifa kwa  viongozi wa serikali za mitaa.
 
 Waandishi  wa habari wakimsikiliza Kamishna wa Sensa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu  (NBS)  Hajjat Amina Mrisho Said (hayupo pichani)juzi jijini Dar es  salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezwa kwa muda wa zoezi la Sensa ya  watu na makazi litakalomalizika tarehe 8 Septemba 2012.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.