
 Mkongwe  wa muziki wa kizazi kipya aka Bongofleva,Prof Jay akishusha mistari  yake kama kawa mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),usiku huu ndani  ya uwanja wa CCM Kirumba.
  
 Mzee wa Miduara katika anga ya muziki wa kizazi kipya,IT akiimba jukwaani.
 
 Masharobaro  ndio habari ya mujiniiiii....! Bob Junior na kundi lake wakitumbuiza  kwenye jukwaa la Serengeti fiesta 2012 usiku huu kwenye uwanja wa CCM  Kirumba,jijini Mwanza.
  
 Msanii wa kike anaekuja kwa kasi Recho akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu
  
 Mwanadada machachari kabisa awapo jukwaani,Mwasiti akiimba jukwaani usiku huu.
  
  Msanii  Ney wa Mitego kama kawa akikamua kwa hisia mbele ya wakazi wa jiji la  Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi ndani ya uwanja wa ccm  kirumba.
 
 Msanii wa bongofleva,Bob Junior a.k.a Shombe shombe akitumuiza na densa wake jukwaani 
 
 Pichani  kulia ni msanii Recho kutoka THT akiwa sambamba na densa wake wakionesha  umahiri wa kuimba jukwaani mauno kwa mbalii hivi.
 

 
 Msanii Ommy Dimpoz pozi kwa pozi akitumbuiza jukwaani na kundi lake
  
 Mkurugenzi  wa Vipindi na Utafiti kutoka Clouds Media Group Bwa. Ruge Mutahaba  akisoma namba ya mshindi aliyejishindia gari aina ya Vits ambazo  zimekuwa zikitolewa  na kampuni ya Push Mobile katika mchakato mzima wa  Tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Kati ni Meneja Masoko wa kampuni ya  Push Mobile Bwa,Rugambo Rodney na shoto ni mmoja wa wakilishi wa bodi ya  Taifa ya michezo ya kubahatisha Bwa.Bakari Maggid wakishuhutia tukio  hilo usiku huu ndani ya uwanja wa CCM Kirumba.Mshindi wa gari hiyo aina  ya Vitz alitajwa kuwa ni Bahati Joseph,mkazi wa jiji la Mwanza,mjasilia  mali.
 
 Sehemu ya timu ya amsha amsha ya tamasha la serengeti fiesta 2012,kulia ni Dj Fetty,Bonge,Mully
 
 Sehemu ya umati wa watu ukishangweka vilivyo usiku huu ndani ya uwanja wa ccm kirumba.
 
 Msanii wa hip hop Roma Mkatoliki akiwa amepozi na mashabiki wake kabla ya kupanda jukwaani usiku huu.
 
 
  Baadhi  ya mashabiki wakiwa wamejitokeza usiku huu kwenye tamasha la Serengeti  Fiesta 2012,linalofanyika kwenye uwanja wa ccm Kirumba.