Washiriki wa Redds Miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi  baada ya kuwasili katika kambi yao ya mazoezikujiandaa na shindano lao  litakalo fanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya naura Spring jijini  Arusha. Jumla ya waremo 11 wanataraji kucuana vikali kuwania taji hilo.Picha na Father Kidevu 
 
                      -