Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua na kutoa heshima  zake mwisho kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi  katika ikulu ya Addis Ababa Jana jioni 
   Rais  Jakaya Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo ikulu ya Addis Ababa  jana, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa Ethiopia marehemu, Meles Zenawi  anazikwa jana. Wengine katika picha ni baadhi ya wajumbe waliofuatana na  Rais Kikwete watakoshiriki mazishi ya kiongozi huyo. Kutoka kushoto ni,  Livingstone Lusinde, Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Ethiopia,  Jenerali Mirisho Sarakikya, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram  Boswaro,Zitto Kabwe na Waziri wa Kazi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haroun Ali Suleiman.Picha na Freddy Maro-IKULU