Hapa  polisi  wakiwataka  wafuasi  wa Chadema  kutawanyika eneo la tukio ofisi za Chadema Nyololo Mufindi
   Mmoja wa askari wa kutuliza ghasia ffu akipita mbele ya ofisi  za Chadema Nyololomuda mfupi baada ya kupiga bomu la machozi
   Daud Mwangosi kulia enzi  za uhai  dakika 20 kabla ya  kuuwawa kwake
   Sehemu ya wafuasi wa chadema wakiwa kwenye ofisi   za Chadema Nyololo 
   Mwili  wa mwanahabari Daud Mwangosi ukiwa chini 
    Sehemu ya magari matano ya Chadema yaliyoharibiwa vibaya kwenye vurugu hizo.Picha zote na Habari na Mdau Francis Godwin-Iringa