Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa India  nchini Tanzania Debnath Shaw alipofika Ikulu Mjini  Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais leo. 
   Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein,akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Debnath Shaw  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais leo. 
 
  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,  akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania Debnath Shaw alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais leo.Picha na Ramadhan  Othman,Ikulu-Zanzibar