
 Banda la maonesho la Tanzania katika ukumbi wa mkutano huo.
 
 Spika Makinda akipokelewa na kukaribishwa na maafisa waandamizi  wa Wizara ya Ardhi, Numba na Maendeleo ya Makazi katika banda hilo.
 
  Balozi Msekela na Spika Makinda wakipata maelezo ya ujenzi wa  mji wa Kigambo ambao umekuwa moja ya kivutio kikubwa katika maonesho  haya
 
  Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.  Goodluck Ole Medeye (kati) pamoja na Bolozi wa Tanzania nchini Italia  Dkt J. A. Msekela (kushoto) wakiwa na mazungungumzo na Mkurugenzi Mkuu  wa International Ecological Safety Cooperative Organization Profesa  Jiang Mingjun alipolitembelea banda la Tanzania
 
  Samani hizi zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini
 
  Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kushoto) akiwa na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi.  Maria H. Bidila, Bolozi wa Tanzania nchini Italia, Dkt. James Alex  Msekela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Mhe.  Goodluck Ole Medeye  wakipeana msimamo wa kitaifa mara kabla ya kuanza  kwa Mkutano wa 6 wa miji na makazi ulimwenguni, mjini Napoli Italia  leo. Zaidi ya nchi 150 zinatajia kudhuria mkutano huo.
 
 Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la vijana  katika mkutano huo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Spika wa  Tanzani.Picha na Habari na Prosper Minja-Bunge