
  Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake  ya uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea  (korea Business  Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam  Sept 06, 2012. 
 
  Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta  jambo na Rais wa KOTRA, Young-Ho oh, wakati wa  na wa uzinduzi wa Kituo  cha Uwekezaji cha watu wa Korea  (korea Business Centre) uliofanyika  kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam Sept 06, 2012. 
 
 Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza  kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na viongozi KOTRA ya  Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea   (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency  jijini Dar es Salaam  Sept 06, 2012. Picha na OMR