Pages

Wednesday, June 20, 2012

KUUAGA MWILI WA WILLY EDWARD OGUNDE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

Mwenyekiti wa wamiliki wa vyombo vya habari nchini (MOAT)Reginald Abraham Mengi akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Willy Edward
Mwenyekiti wa Taifa wa CUF Ibrahim Lipumba akiwa na katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye katika viwanja vya Mnazi mmoja leo



Mwili wa Willy Edward ukiwasili viwanja vya Mnazi mmoja kwa kuagwa leo
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri nchini Absalom Kibanda ambaye ni Mhariri Mtendaji Free Media Ltd akiwa ameshika picha ya marehemu Willy Edward akiongoza msafara wa mwili wa mhariri huyo


katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye (kushoto) akimpongeza mwanaBlog Issa Michuzi kwa kazi nzuri
Mmiliki wa mtandao Wa http://francisgodwin.blogspot.com/ Bw Francis Godwin(kushoto) akimhoji kupitia radio Country Fm ya Iringa mwandishi na mwana Blog Issa Michuzi leo juu ya kifo cha Willy Edward ,radio Country Fm ilikuwa ikirusha moja kwa moja matangazo hayo kupitia mtandao huu kutoka viwanja vya Mnazi mmoja leo

Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof.Ibrahim Lipumba akiaga mwili wa aliyekuwa mhariri mkuu wa Jamboleo marehemu Willy Edward leo


Fredrick Mwakalebela kushoto akiongozana na wananchi wengine kuaga mwili wa marehemu Willy Edward mchana huu katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar




Mamia ya wanahabari na wakazi wa jijini D'Salaam wakiongozwa na viongozi wa vyama vya siasa leo wameuanga mwili wa aliyekuwa mhariri mkuu wa gazeti la Jamboleo marehemu Willy Edward aliyefariki usiku wa kuamkia jumapili akiwa kikazi mkoani Morogoro

PICHA KWA HISANI YA http://francisgodwin.blogspot.com/

Popular Posts