Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma  Kikwete akiwahutubia washiriki wa mkutano wa Global Network of  Religions for Children (GNRC) wakati wa chakula cha jioni huko  Kilimanjaro hoteli tarehe 17.6.2012.
   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Rev.Keishi  Miyamoto, Rais wa Arigatou International and Chairman of the Board of  Myochikai kutokana na mchango wake mkubwa juu ya malezi ya watoto wakati  wa chakula cha jioni kilichofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro jijini  Dar es Salaam kwenye mkutano wa Global network of Religions for  Children (GNRC) tarehe 17.6.2012.
  Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo na Mke wa Rais Mama Salma  Kikwete akizungumza na Rais wa Arigatou International andna mwenyekiti wa  Myochikai Rev. Keishi Miyamoto wakati wa chakula cha usiku  kilichofanyika katika hoteli  ya Kilimanjaro tarehe 17.6.2012.Picha Zote na John Lukuwi